S A A 7 2
Februari 25, 2003
Bogoro – Buni, DRC
Msichana wa miaka 15 hivi, akiwa na majeraha mazito mwilini alizidi kujilazimisha kupiga hatua kwenye mtaa uliojaa
KITABU: PATASHIKA
1
Usiku wa Kizaizai
ALISHTUKA toka usingizini. Akajituliza pale kitandani kwa sekunde kadhaa, masikio yake yaliweza kusikia moyo wake
Operesheni Panama
Ilikuwa siku ya 18 ya mwezi Machi mwaka 2003 katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania, wakati taarifa ilipomfikia.
Kilipomfikia, kilikuwa kama tone la maji kwenye
SURA YA KWANZA
Alikohoa tena na tena, kihohozi cha taabu, huku uso wake ukionyesha alikuwa akipata maumivu makali. Alijitahidi kuyadhibiti makohozi yake kwa kufunika kinywa chake