Ingia

Karibu Tena, Rafiki. Ingia kuanza kusoma vitabu

JISAJILI

Ukimaliza kujisajili hapa, lipia riwaya kwa M-pesa!

Kurudisha Neno la siri

Fortgot your password? Don't worry we can deal with it

UTANGULIZI - MSAKO

Kugundulika kwa gesi katika pwani ya mji wa Mtwara nchini Tanzania kunakuja kama tumaini jipya la kiuchumi kwa serikali na raia wa kawaida. Kila upande unajawa matumaini ya kuishi maisha bora ya ndoto zao.

Katikati ya furaha, mataifa na makampuni ya kibepari yenye Soko la Dunia, yanatatizwa na habari hiyo kwa hofu ya kupoteza udhibiti wa raslimali hiyo. Kwa hila yanauingilia utaratibu ili kuipoteza taarifa ya kitafiti iliyolenga kuwaongoza wataalam katika mradi huo.

Pasipo kutarajiwa, ripoti kuhusu gesi inatoweka, ndege iliyowabeba watafiti kutoka nje waliokuwa wamekamilisha kazi yao kwa weledi inaanguka dakika chache baada ya kuruka. Watafiti wawili ambao ni wazawa wanapatwa tashwishi; mmoja anauawa na mwingine anatoweka akiwa na kompyuta pekee iliyokuwa na ripoti hiyo.

Ili kuufahamu ukweli na kuirejesha ripoti, mpelelezi tishio, Jacob Matata kutoka kitengo cha Ujasusi kiitwacho Ofisi Fukuzi (OF), anasajiliwa katika jukumu hili zito. Kwa hila, anajikuta katikati ya kifo na uzima kutokana na kazi aliyosajiliwa kuifanya. Upekuzi wake unamfikisha katikati ya kundi kubwa la maadui ambao hawajui kwa sura na maumbile, lakini hajali.

Akiwa kwenye msitu uliojaa usaliti, hujuma, hiana uchu wa fedha, mapigano, ujasusi na visasi vya mapenzi, Jacob Matata anataka kufaulu.

Je, atafanikiwa kuwashinda maadui waliopanga kwa hila kuipoteza ripoti ili kuyalinda maslahi yao?


Ili uweze kuendelea kusoma Tuma Tsh. 5000 kwenda namba +255 762 204 166 ili uweze kusoma kitabu MSAKO


RIWAYA ZA KUSISIMUA NA MAFUNZO

SAA 72 ZA KUFA NA KUPONA
SAA 72 ZA KUFA NA KUPONA
SAA 72 ZA KUFA NA KUPONA

Kurejea kwa yule mbabe wa kivita bwana Joseph Katanga huko Congo DRC kunasababisha hali ya wasiwasi mkubwa. ICC wanamwachia wakati ambapo kiongozi wa nchi hiyo anatarajiwa kutangaz

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
PATASHIKA
PATASHIKA
PATASHIKA

Furaha Kijana Maganga, ambaye amebakiza mwezi mmoja kuhitimu mafunzo yake ya Upadri anajikuta yuko katikati ya wimbi zito la maisha pale mtandao wa kijasusi na wahalifu wa kimatai

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
HEKA HEKA
HEKA HEKA
HEKA HEKA

Utangulizi

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
MKONO WA SHETANI
MKONO WA SHETANI
MKONO WA SHETANI

Furaha aliyokuwa nayo mkurugenzi wa shirika la JEPA, Bwana Makia Kimisa kutokana na kupokea hati za msaada wa kipesa wa mamilioni ya dola toka nchi wahisani inatoweka ghafula. Hii

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
MSAKO
MSAKO
MSAKO

Kugundulika kwa gesi katika pwani ya mji wa Mtwara nchini Tanzania kunakuja kama tumaini jipya la kiuchumi kwa serikali na raia wa kawaida. Kila upande unajawa matumaini ya kuishi

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
MSAKO II - The Game
MSAKO II - The Game
MSAKO II - The Game

"JACOB, tumepata taarifa muhimu, zimethibitishwa na shirika la kijasusi la Urusi FSB ambalo zamani lilijulikana kama KGB kuwa, Rais Obama alipoingia madarakani, kwenye ile siku amb

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
NI ZAMU YAKO KUFA
NI ZAMU YAKO KUFA
NI ZAMU YAKO KUFA

Katika kisa hiki safari ya mpelelezi Jacob Matata inaanzia pale anapoitwa na bosi wake na kutumwa Arusha kupeleleza tetesi za kuwepo kwa silaha za hatari katika jiji hilo. Jacob Ma

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000
PATAPOTEA
PATAPOTEA
PATAPOTEA

Taarifa ziliponifikia kwanza nilizipuuzia. Niliendelea na shughuli zangu kwani niliziona kuwa ni taarifa za ajabu na zisizo na msingi wowote. Lak

Endelea Kusoma

  • Tsh BURE
MDHAMINI
MDHAMINI
MDHAMINI

Watoto watano wa kiume walifunzwa na kulelewa mfumo wa kuruka na kuwinda kama wana wa Tai. Hii ikawafanya kuondokea kuwa mafundi sana katika masuala ya kupigana na kutumia silaha.

Endelea Kusoma

  • Tsh 5000